Utaratibu wa kulipa karo(ada)
Chekechea |
Januari |
Tsh. 200, 000/= |
Julai |
Tsh. 150, 000/= |
Septemba |
Tsh. 100, 000/= |
Jumla |
Tsh. 450, 000/= |
Msingi |
Januari |
Tsh. 350, 000/= |
Julai |
Tsh. 200, 000/= |
Septemba |
Tsh. 50, 000/= |
Jumla |
Tsh. 600, 000/= |
Darasa la nne na saba |
Januari |
Tsh. 450, 000/= |
Julai |
Tsh. 200, 000/= |
Septemba |
Tsh. 200, 000/= |
Jumla |
Tsh. 850, 000/= |
Huduma zitolewazo shuleni
- Huduma ya kwanza
- Maji safi na salama ya kunywa wakati wote
- Uji/chai na vitafunwa asubuhi wakati wa mapumziko
- Chakula cha mchana
Mchanganuo wa ulipaji wa gharama za chakula, shajala
(stationery)
Chekechea |
Januari |
Tsh. 200, 000/= |
Julai |
Tsh. 100, 000/= |
Septemba |
Tsh. 20, 000/= |
Jumla |
Tsh. 320, 000/= |
Msingi |
Januari |
Tsh. 200, 000/= |
Julai |
Tsh. 100, 000/= |
Septemba |
Tsh. 20, 000/= |
Jumla |
Tsh. 320, 000/= |
Darasa la nne na saba |
Januari |
Tsh. 200, 000/= |
Julai |
Tsh. 200, 000/= |
Septemba |
|
Jumla |
Tsh. 400, 000/= |
Kumbuka
-
Wanafunzi wote watalipa chakula cha mchana shuleni, hakuna
atakayeruhusiwa kwenda kula nyumbani wala kuletewa chakula kutoka
nyumbani.
-
Mtoto atarudishwa nyumbani iwapo mzazi amechelewa kumlipia mtoto
wake na ikiwa hajatoa taarifa yoyote ya kimaandishi na hiyo taarifa
ikakubaliwa shuleni.
-
Mtoto anatakiwa kulipiwa michango ya chakula na shajala siku ya
kwanza mara tu anapofika shuleni. Tafadhali fedha hii ilipwe katika
ACCOUNT NO. 015071400100 CRDB Bank ILEMELA ENGLISH MEDIUM
SCHOOL.
-
Fedha ya sare (uniform) ni Tsh. 140,000/= ilipwe
shuleni siku ya kufungua shule au kabla, ambayo itajumuisha:
Kaptula au sketi mbili, shati au blauzi mbili, soksi (jozi moja),
sweta moja, nguo za michezo (track suit) na tisheti moja zikiwa
zimedariziwa nembo ya shule.
Rim moja (karatasi 500) kwa wanafunzi wote wa
madarasa yasiyokuwa na mtihani na
rim mbili(karatasi 1000) kwa wanafunzi wa madarasa
ya mtihani(darasa la nne na la saba)
Shajala(stationery) yaani kalamu, penseli, compass, ruler
n.k vinapatikana shuleni kwa bei za madukani.
Usafiri unapatikana kwa gharama zifuatazo kwa kila mwezi
Tsh. 50, 000/= (Kanda A) |
KILOLENI, NYASAKA, MADUKA TISA, BUZURUGA, NUNDU, MECCO |
MADUKA TISA, MITI MIREFU, KANGAE, BUZURUGA, NATIONAL |
Tsh. 60, 000/= (Kanda B) |
MAHINA, MABATINI, MJINI, KIRUMBA, NYAMANORO |
KONA YA BWIRU, ROCKCITY MALL |
Tsh. 70,000/= (Kanda C) |
AIRPORT, PASIANSI, MSUMBIJI, KISESA |
MKUYUNI, IGOMA, NYAMHONGOLO, IGOGO, KISEKE |
Tsh. 80,000/= (Kanda D) |
IGOMBE, TX, NYEGEZI, CAPRIPOINT |
ISANGIJO HADI MAKOROSHONI, NYAMWILOLELWA |
Kumbuka
-
Sehemu yote ambaypo haijatajwa hapo juu itatolewa maelezo shuleni
kutoka kwa mkurugenzi au menaja.
-
Mzazi/mlezi atamleta mtoto wake katika kituo maalumu kwa muda ambapo
gari litamchukulia na sio kumfuata nyumbani.
-
Fedha ya usafiri inalipwa kwa meneja au mkurugenzi na inalipwa kabla
ya kuanza Huduma.
-
Huduma ya usafiri itasitishwa siku mbili tu baada ya siku
zilizolipiwa kuisha iwapo hakutakuwa na taarifa maalumu shuleni na
ikakubalika.
-
Iwapo gari litafika kituoni lisimkute mtoto, mzazi atalazimika
kumleta mtoto shuleni kwa gharama zake.