Mwanafunzi anatakiwa
-
Mwanafunzi anatakiwa kufika shuleni kabla au saa moja kamili asubuhi
na muda wa kutoka shuleni ni saa 11:30 jioni kwa siku zote za
masomo.
-
Kutokuvaa heleni, kupaka wanja, kapaka rangi kucha au kuweka urembo
wowote uwe wa kiitikadi, kiimani, kiutamadudi, kishabiki, n.k na
kama ni msichana hauruhusiwi kusuka misuko yoyote ile.
-
Kuvaa sare sahihi za shule siku zote awapo shuleni au nje ya nje ya
shule kwenye shughuli za kishule.
- Kuheshimu bendera ya taifa na wimbo wa taifa.
- Kuheshimu watu rika zote.
-
Kujiepusha na tabia zote mbaya kama vile lugha chafu, ugomvi n.k
-
Kutokumiliki vitu vya thammani kama vile fedha, simu, flash, n.k
awapo shuleni.
Mzazi/Mlezi anatakiwa
-
Kumlipia mtoto wake ada kamili na michango yote kikamilifu na kwa
muda muafaka ili kuepika usumbufu
-
Kuhudhuria vikao vyote vitapoitishwa na uongozi wa shule ili
kuboresha maendeleo ya mwanafunzi.
-
Kuvaa mavazi ya staha na kujiepusha na lugha chafu awapo shuleni kwa
shughuli yoyote.
Apply Now